Mazagazaga..........!
Nadhani muonavyo hapo pichani juu ni kuhusiana na hizi bangili na chain pamoja na hereni ’Accessories’ kama wanavyoiita wenzetu zilizongia sasa ambazo kina dada na macelebrate kibao wanalipuka nazo ni hereni kuubwa na ndefu, pamoja na mabangilia mapanaa ambayo yanakuwa na rangi tofauti au rangi ya shaba kama si fedha na pamoja na chain ambazo zina miundo ya duara na maumbo tofauti na zinakuwa na urefu ambapo unaizungushia shingoni kutokana na mtindo wa nguo uliyovaa zipo katika material tofauti, chuma, plastic na magome ya mimea pamoja na madini tofauti tofauti. Ndio utavaa nguo yako na kiatu bomba bila kutupia ka ’Accessories’ hata kidogo wajanja wataona umechmka kulipuka kinoma.... basi Naomba niwape majivitu hayo pia usisahau vitu kama.... . pochi viatu na nguo na mwishoni unaweza vaa rangi tofauti ila zinazoendana....mpo hapo!
No comments:
Post a Comment