Friday, 27 April 2007

Converse With Double Ulimi!

Hiyo ndio style ya simple mpya za converse with double ulimi...aina hii ya style imekaa sana kihiphop na mchanyiko wa Army Design ambao kusema ukweli ni noma na kama nilivyosema kwenye uvaaji wa t-shirt na jeans na cadet khaki katika usimple kama huu ni balaa...nadhani wazee mmesoma stock hiyo jinsi ilivyokwenda kidato....mnasemaje wakurugenzi?

2 comments:

Anonymous said...

now thats the type of footwear that got me goin crazy ryt now. the double tongue is a hit.

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mambo ya kijeshi jeshi converse imesimama ukiipiga na pensi ya khaki inakuwa bomba zaidi halafu juu unapiga t shirt yko ya form six rangi nyeupe itakuwa nzuri zaidi