Friday, 27 April 2007

Sina La Kuongoza Warembo..Kazi Kwenu!

Kuhusu huo mdungo hapo pichani kusema ukweli sina la kusema warembo ila nimeona niwape na nyie muda wajivika na kujaribu kimawazo ni vipi na namna gani huu mdungo wa stock hapo pichani umekugwadua kwa kiasi gani...embu niambie kwa mfano umeshtulia ghafla tu kwamba unatoka out ghafla halafu ukashauriwa ukivae hicho kiatu ...je utavalia kitu gani kwa muda huo ulioshutuliwa mrembo?

1 comment:

Anonymous said...

A pink blouse with a brown pedal pusher....Thanks