Ukitaka ujue ukivaa ful denim jeans na vitu flani simple hivi basi embu jaribu siku mmoja halafu upate mtoko mmoja wa bata kama hujapata big up sana popote kwa wajuzi wa mavazi...kama mnaonaje hapo pichani denim ful na orange blauzi na viatu vya rangi hiyo hiyo na kusema ukweli amependeza sana....napenda kuwapa shavu sana warembo wa kibongo akiwepo mrembo Lulu pichani kwa kuwakilisha sai sana kwenye hili duru la kunyuka pamba za maana...safi sana!
3 comments:
Mrembo amemechisha bomba sana ndani pink na viatu pink halafu full jeans bluu kuanzia koti hadi suruali nimekubali out fit yake iko bomba sana big upp
hahahhahahaha wanaume bwana mna matatizo ya rangi sio wewe derrick tu bali wanaume kibaooo wanaweza wakaropoka rangi utasema wanatania...that ORANGE COLAR MY BRO sio pink....halafu haka kabinti kampwa kangu haka sheria utaniambia umetoka nako wapi!!!!!kamelipukaa hadi raha ngoja nikatwangie nikaambie huku FULL MAUZO!!!
mmmh mamaaa mmechisho huo ......sikuwezi ila umependeza darling.
Post a Comment