Friday, 27 April 2007

Siku Ya Harusi Ya Kabila Walilipuka Hivi...

Tafakari jinsi siku kabila alipofunga ndoa...harusi yake ilikuwa babu kubwa na mavazi ya wote wawili yalikuwa simple sana ingawa najua yalikuwa ni yalibuniwa na wabunifu maarufu dunia..lakini twende mbele turudi nyuma mnaonaje mavazi hayo wadau zangu?Naomba mnipe maoni yenu hapo!

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Yaani walitoka simple hakuna mambo mengi wala mashelashela kibao kama ilivyo bongo bibi harusi yuko simple inculding bwana harusi halafu colour waliyochagua pia bomba sana black goes with white i love the suit of Mr President.