Friday, 27 April 2007

Kama Anasema Tulia....Uone Pamba Zinavyovaliwa!

Marques Huston pichani akiwa kala pozi mmoja matata sana na lakutisha huku akiwa kalipuka kawaida sana bila makorokoro mengi yaani kwa mtoko wa kawaida anaonyesha hauhitaji mlimbikizo wa nguo...ila unavaa simple kama umuonavyo pichani ni shati la mikono mirrefu bodyfit flani lenye mistari mwembamba,white vesti nayo bodyfit flani na juu kamalizia na ofisi (miwani) moja ya maana oversize flani ya light smoke brown hivi basi ni balaa tupu....nadhani chini atakuwa kamalizia na jeans na white snicker iwe Air Force 1 n.k au Driving Shoes au Loafers....au pia Travolta la brown itakuwa kametoka mwake ..je mdau wewe ungevaaje hapo?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Dah hapo marques houston nimemkubali mtoko wake aliotoka nao ametoka bomba sana shati limesimama sana lina strips bomba kishenzi halafu kizuri zaidi ni kwamba ni body fit najua chini anaweza kuwa amemalizia na kitu kimoja kikali sana cha kufa mtu.......Sheria nimekusoma mkuu hilo shati si la kukosa limesimama mkuu