Siku zote ukivaa aina yoyote ya rangi kumbuka rangi inayokuwa Dark sana huwa inapendezaga ukimatch na rangi iliyo Light pia ila iwe ya aina hiyo hiyo...kama uonavyo pichani juu jinsi gani tai ilivyopendeza ya Dark Blue ilivyopandishiwa kwenye Shati la mistari ya Dark Blue na Light blue...mnasemaje waungwana mdungo umetulia nadhani hakuna ubishi hapo....
1 comment:
Hapa ndio usiseme kabisa yaani mtoko huu halafu chini ukawa na suruali ya dark blue halafu yenye strips halafu chini kabisa unakandamiza na travolta moja kali sana lazima watu wakubali mziki wako kama ni mimi natoka na style hiyohalafu shati linakuwa ni body fit pia suruali inakuwa ni body fit pia mkuu hapo najua lazima itakuwa imesimama vilivyo halafu chini ndio unakuwa umekandamiza na travolta lazima ufunike
Post a Comment