Friday, 27 April 2007

Mambo Ya Polo Hayo...Balaa!

Siku zote chata ya polo ndio chata iliyoko kwenye chati kwa kipindi kwakuwa ili kutunga stock hiyo inakugharimu kidogo ukifananisha na aina nyinginezo za Color T-shirts nyinginezo..hii inatokana na kuvaliwa na hata kutangazwa sana na watu maarufu kuanzia Musician,Movie Actors/Actress,Golfer n.k Hii aina ya design ya t-shirt inajulikana zaidi na wabongo kama Form 6....ukilikamata kama hilo pichani au ya aina nyinginezo za rangi kwakuwa ziko katika choice tofauti za rangi unalipukia Jeans au Pensi Jeans,Kaptula ya Khaki,Linen Trouser na chini unamalizia Simple Raba White..Green au mchanyiko wa rangi zote mbili kwa upande wa jeans na kwa upande wa Pensi ya Khaki unamalizia chini na Sendoz Simple,Driving Shoes au Loafers basi kazi kwisha kabisa au mnasemaje wakurugenzi mdungo huo...Nadhani Junior Umenisoma Hapo...?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Hapo unielezi kitu kabisa unakata t shirt kali kama hiyo unapiga na pensi yako ya maana halafu chini unamalizia na snickers zako za white najua itakuwa imesimama ile mbaya au unaweza pia chini ukakandamiza na snickers fulani za bluu ila zinakuwa na strips nyeupe au snickers nyeupe zinakuwa na strips za bluu kwa pembeni najua hapo utakuwa umesimama vilivyo............Sheria nimekusoma hapo mkuuu