Friday, 27 April 2007

Mnasemaje Wakongwe Nao....Wabishi Pia!

Da haa umri uende vipi ila kuna watu wabishi sana ambao hawakubali kupitwa na wakati hata kama watu wanawaona du wameshaenda age...hapo nawazungumzia couple kali sana ya malegend kama Producer Maarufu Dunia J.Dupri na Mwanamziki Mashuhuri Wa R&b/Pop Janet Jackson kwakuwa wabishi sana katika swala zima la kulipuka pamba na ndio sababu yak e wanazidi kuonekana vijana na sio wazee ila vijana ndio wanaonekana wazee kuliko wao...embu wadau niambie ukikutana na Janet Jackson sasa hivi unaweza kupagawa na kurusha kete bila kujua umri wake mkubwa hii inatokana na pamba na kwenda na wakati aliyonao mrembo huyu na ndio hivyo hivyo kwa J.Dupri....Cheki pichani unazani vijana kumbe pamba na kwenda na wakati pia kunawasaidia plus pesa ndefu.

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Umri umeenda hao lakini ukiwacheki utafikiri wako kwenye 20's lakini siku zote mazoezi na kula fresh pia vinasaidia sana maaana lazima ukijiweka fresh utaonekana still young kwa hawa JD NA JJ wamelipuka ila kinoma wametoka fresh sana especially janet she's really beautiful