Sema Na Hiphop.....!
Pichani ni aina ya style ya uvaaji Kola T-shirt(Form 6) ijulikanavyo na wengi pale bongo na unavalia ndani T-shirt yenye mikono mirefu kwa ndani kama uonavyo pichani...style hii inapendeza sana kuvalia jeans na simple snickers yoyote ilimradi iendane na aina na rangi ya nguo utakazojilipua nazo na pia inategemeena pia na rangi unazoona zinakupendeza ila kumbuka kila mtu ana aina ya rangi anazozipenda ......nadhani wapenzi wa Hiphop Style mmenisoma hapo!
No comments:
Post a Comment