Thursday, 26 April 2007

Range Rover...Sport Hiyo!Wadau zangu nimeona nisiwe nabase sana kwenye masuala ya mavazi tu ia na mavazi nayo yanapendeza au kuendana na mavazi unayolipuka nayo...naona vilevile nitakuwa nawadunga stock ya miguu minne ili tusukutue vinywa hata kama hatuna ila tukipata tudake na sisi...haha ok wadau hiyo ndio Range Rover Sport jinsi lilivyo na kusema kweli nasikia pale bonogo tumejikwamua sana kwa suala kama hilo na watu wanapimp kama kawaida nakuacha ile zana ya kuoona kwenye tv au magazeti ila sasa ni live pale bongo watu wanapush vibaya sana hayo ndio maandeleo kama usemi usemao "Kazi Na Dawa" au mnasemaje wadau zangu huo mdungo pichani ukiukamata 1day?mnaonaje hizo rims....rangi ya gari...na jinsi gari lenyewe lilivyosimamia kucha.....ukiwa unafanya choice ya gari kwa kipindi hichi uwe unajua kuwa rims na rangi ya gari vinamatter kinoma...wadau au uongo?

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mkurugenzi vitu kama hivi siku bongo vya kumwaga hadi watu wanaona imeishakuwa kero maaana kila kona ya barabara haukosi kupishana na midude kama hii halafu watu wanavyoingiza bongo kama vile ya msaada lakini its still the hottest car at the moment hapa bongo mazee ukikamata kitu kama hicho tena rangi hiyo hiyo unakuwa unique kidogo maana hapa bongo range nyingi ni rangi nyeusi na kijivu kwahiyo mkuu ukiwa na stock kama hiyo lazima ufunike mzee......one of my favourite cars hiyo na BMW X 5.....

Anonymous said...

The Range Stormer a hot whip,but Bongo ain't really slingin the rides wit 26's and blackouts,them nigs aint blindin eyes ya know,though I done seen some hotass roadsters in Moshi