Wednesday, 4 April 2007

Usafiri Wa Maana Huo....!
Kusema ukweli ni kiatu simple sana kwa jina zuri ni mkwaju wakulipukia sana sana kwa jeanz zenye style ya kibritish,suruali za khaki au cadet,linen kwa wale wanaopenda mambo ya Italian Style ndio zenyewe hasahasa kwa rangi nyeupe ful au hata nyeusi kwa wale wanaona inawapendeza kutokana na rangi zao....upo mdau wangu derrick hapo?

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Duh ndau wangu hapo umenimaliza kabisa hicho kitu ni aibu mtu wangu yaani nakitamani ile mbaya mzee hapo ukipigilia jeans yako ya kakhi halafu juu ukapiga shati fulani yenye material ya linen halafu iwe myeupe hapo umemaliza kabisa au ukapiga full linen kuanzia juu hadi chini unakuwa umeua kabisa tupo wote mdau wangu wa sheria na mavazi kitu hicho ni nomaaa

Anonymous said...

mzee sema posted by u on a certain date not at...au sio? hiny za hapa na pale mdau wangu!

jina lishakuwa kubwa kwa hiyo mambo lazima yakue