Wednesday, 6 June 2007

Mambo Ya Ugentleman!








Ukikaa na mtu akakuambia umetoka kiutu uzima basi kaa ukijua mapigo uliyojinyuka yametulia sana na yamekutoa safi sana kwa kvupi kigentleman standard sana...embu fikiria ukivaa mapigo kama haya bila blazer au nini itakuwaje ukijipua kuanzia hiyo tie na kitambaa chake,shati la black,Elastic Web Brace,Trouser hiyo,na chini ukamalizia na moka hiyo nyeusi matata?embu niambie derrick,allen,poly na eric si itakuwa balaa?

3 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mkuu hii stock imenifanya niende mbio maana sio tu utaambiwa umetoka kiutu uzima bali ukijichanganya na wazee ukiwa na deal lazima walipitishe kuanzia hizo moka suruali shati tie pamoja na cufflinks vimesimama jinsi strips za tie zilivyo na rangi yake kwenye shati jeusi unatoka safi sana

Anonymous said...

this is classic. ukijimix na ma mafia huko sicily watajua u are one of them!

Anonymous said...

mwanangu naitaka hiyo moka naweza kuipata wapi