Banana!
Huyo ndio Banana Zorro ambaye ni mmoja kati ya wanamziki mahiri sana pale bongo..nimeona nimweke leo wadau zangu ili muweze kumwona mwanamziki huyu pamoja na hiyo style yake mpya ya nywele ...mimi binafsi naona imempendeza kwakuwa kazi yake inamruhusu kuwa mbunifu wa vitu mbalimbali kwaajili ya kuteka washabiki wake..safi sana banana zoro....
3 comments:
mmmhhhhhhhhh naona alikuwa hana muda wa kwenda salon.
Nspenda sana nyimbo za Banana zina bamba kikubwa na hapo kapendeza sanaaaaa kip it up...
Well...i was schoked as i saw this pic..coz i think he was thinkin crazy ideas and it came out crazy too
Post a Comment