Wednesday, 4 July 2007

Simple Ila Balaa!






Hayo ni mapigo simple sana warembo nimeona niwawekee kwa leo ili muweze kujidunga siku ukifanikiwa kukamata stock kama hiyo...nimeona nikuonyeshe vitu simple ila ni balaa ukijilipua nao...nimekudunga kwanza Large Tote,Charm Necklace,Multi utopia satin prom dress na Madden Girl Vanilla Shoe...mpo warembo hapo?

1 comment:

Faith S Hilary said...

I love the dress...it is sooooo pretty..it's candy1