Sunday, 20 March 2011

Kisura wa Tanzania 2011 Lethina Christopher akiwa katika picha ya pamoja na washindi wenzake.
Sita Bora ya Kisura wa Tanzania 2011 wakiwa katika picha ya Pamoja.
Kumi Bora ya Kisura wa Tanzania 2011.

Kisura Wa Tanzania 2011.

Kisura wa Tanzania 2011 Lethina Christopher akiwa katika picha ya pamoja na washindi wenzake mara baada ya kutangazwa mshidi wa taji la Kisura Tanzania 2011 Usiku wa juzi Kilimanjaro Kempinsk jijini Dar es Salaam Mshindi wa Pili ni Neema Kilango kulia na Mshidi wa Tatu ni Flaviana Makungwa.Picha na Mdau Ahmed Michuzi

No comments: