Baseball Cap Vs Formal Outfit...Ni sooo!
Nadhani kwa wale wapenzi wa mambo ya kuvaa kofia msikate tamaa kwakuwa hata nyie mnaweza mkamix formal zenu na cap zenu bila wasiwasi kama uonavyo pichani ila kumbukeni sio kila mtu huwa anapendeza kuvaa kofia wako zinazowatoa basi embu mtazame mchezaji kikapu mahiri wade akiwa kalipuka baseball cap ya dark brown,sweater la mikono mkato la dark brown,na shati lenye mistari la mbrown,yellow...nadhani mmeusoma mdungo huo wadau zng
1 comment:
hilo shati na sweater aliyovaa zimesimama vilivyo outfit hiyo bomba sana
Post a Comment