Tuesday, 8 May 2007

Bodyfit Hiyo..Mnaonaje Ikikufit Namna Hiyo?

Unaonaje wadau zangu ukiwa unapata nafasi ya kupata suti inayokukaa namna hiyo uivaapo?hayo ndio mambo ya Bodyfit Suti kama unavyomwona mzee mzima Usher pichani juu akiwa amepata kimeo kuwekwa kwenye gazeti la Atlanta Peach kutokana na ulipukaji wake wa mavazi motomoto kama umuonavyo pichani...wadau mnasemaje mtoko huo?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

What can i say out fit moja kali sana everything is perfect from the top to the bottom siku ukiingia na mdungo huo kwenye mkia fulani wa jogoo lazima ufunike ile mbaya hapo najua mzee mzima Usher lazima chini atakuwa amemalizia kwa kukandamiza na kiatu kimoja white matata sana