Thursday, 10 May 2007

Common Akila Kimeo Cha Gap Ad!



Mwanamziki Mashuhuri Common kama mumuonavyo pichani akiwa anakula kimeo cha matangazo ya kampuni kubwa ya mavazi duniani ya Gap kama muonavyo pichani...pichani juu akiwa amekula pozi nene na chini akiwa nakula shooting matangazo ya kampuni hiyo na pichani chini anaonekana akiwa amelipuka ful khaki na mtoto pembeni yake...kusema ukweli jamaa ametokea kukubalika sana katika swala zima la kunyuka pamba kali na kwakusema ukweli ni halali yake kuzidi kukamata vimeo kama hivyo...wasanii wa bongo mpo?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Common the classic men jamaa namkubali sana kwenye ou fit za classic anafunika ile mbaya