



Hiyo ndio classic outfits nimeona niwadunge wadau zangu kwakuwa nimeona nianzie kuanzia juu mpaka chini ili muone matching yake inakuwaje...tukianzia pichani juu ni light brown woven detail panama hat,brown draft stripes classic blazer with silk material shirt with blue,pink and brown colour,gnurly buckel distressed belt,white linen trouser and brown loafer shoe......mpo wakuu hapo!Nadhani mdungo umetulia sana ukipata mtoko wowote...sina la kuongeza hapo wakuu ila kazi kwenu kutungua dukani...
3 comments:
I must admit, i am not a man but this shoe is just woow! yaani inkwenda na jeans/suruali ya kitambaa kama kawa...inang'arisha mabrother
Much love Sheria from wify in Spain!!
mwaaah......keep on the good work!
By the way its just a lofer and not Driving shoe.
POLO CLASSIC OUTFIT.......very exciting
Post a Comment