Najua kuna aina tofauti tofauti ya kofia na design mbalimbali ila kila kofia ina jina lake kutokana na muundo wake uliotengenezewa kofia hiyo...kama muonavyo pichani ni mbishi namba moja katika swala zima la cotton mzee mzima Common akiwa amelipuka kamakawaida yake na simple classic style matata akijumuisha Vintage Newsboy Cap (Draft Brown),Shati La Light Goldish Cream Silk,Kijambakoti cha Dark Brown....kusema ukweli style hii iko juu sana kwakuwa haina makorombwezo mengi ila simple but sure na kila utapotia kwako...watu salute.......!Na tukumbukeni wadau kwamba mzee mzima pichani anakubalika vibaya sana huko kwa swala la milipuko ya hatari mpaka amekamata mkataba mnene wa kampuni ya mavazi ya Gap na anakamua vibaya sana.....nadhani mmenisoma waungwana na mlipuko huo!
Friday, 4 May 2007
Common Ndani Ya Vintage Newsboy Cap!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Katika swala zima la cotton huyu jamaa milipuko yake inaniacha hoi ile mbaya maana mshikaji out fit zake zimesimama ile mbaya yaani kote kote yumo kuanzia old skool classic mpaka kwenye designs za sasa hivi
Post a Comment