Thursday, 10 May 2007

Grey Suit Na Kaptula!

Nadhani siku zote warembo tumezoea suti kuvaliwa either na minsketi au suruali ila sio na kaptula...sasa basi embu tazamani kuanzia kitambaa cha suti,mshono,na style ya kikaptula chenyewe alichovaa Beyonce ndio mjue stock hiyo ni balaa kiasi gani.Najua sina wasiwasi na warembo wetu pale bongo kwa kujilipua na style hizo ila kumbukeni hata style pia zinatofautiana na mtindo na mshono wa mbunifu kama uonavyo pichani na unatakiwa jinsi gani ukiwa umevaa aina hii ya suti umatch vipi kama flat shoes au highhills shoes hizo zinakuwa kama principal za uvaaji wa mavazi kama haya....nadhani mrembo shamim umenisoma hapo..?

No comments: