Hapo nachotaka muone ni uvaaji huo wa pamba simple kinoma na fresh hata kuzugia mtaani naclub au kwenye mabash tofauti...kuanzia juu nimekupa hiyo pama ,t-shirt,buckel leather belt,kodrai jeans na adidas white na brown...mnaseaje hapo?
Ukiangalia rangi ya hizo nguo utakubali kuwa matching yake imesimama viatu rangi yake nyeupe inaendana vizuri sana na jeans na t shirt halafu ile kofia nayo pia ina match vizuri...........
1 comment:
Ukiangalia rangi ya hizo nguo utakubali kuwa matching yake imesimama viatu rangi yake nyeupe inaendana vizuri sana na jeans na t shirt halafu ile kofia nayo pia ina match vizuri...........
Post a Comment