







Warembo embu tazameni kwa makini ni jinsi gani rangi ya red inavyovutia endapo ikimixiwa na rangi nyingine kama uonavyo pichani tukianzia pichani juu ni Houndstooth Headband(kibanio cha kichwani), Square Sunglasses(miwani), Shell Necklace(cheni ya shingoni),Misshaped Bangle Bracelet(bangili la mkononi),Kenzie Girl Tank Dress(kiblauzi),Buckle Skinny Belt(mkanda mwembamba wa kiunoni),Lucky Brand Lil' French Cuffed Crop(jeans),Naughty Monkey Bettie Shoe(kiatu)....nadhani mnajua kuwa style ya kuvaa headband kwasasa imerudi kwenye chat kama zamani mfano ukimkuta mrembo akiwa kabana nywele zake vizuri a kulala vizuri kabisa basi akiweka na hicho kibanio inatoka vibaya sana.....mpo hapo?
7 comments:
Aminia sheria...mtoko huu mwanangu unapendeza mambo fulani kwenye zile party fulani hivi au mambo ya kulipuka tu full mauzoooo
Nimependa accesories (sorry I can't spell it but I think u get wot I'm sayin)
This chick will look wooow!!! nice collection, nitajaribu hiyo outfit na kukutumia picha. nimeipenda sana hii style.
Keep it up Sheria.
Napenda sana mtu akivaa red, black & white inapendeza sana. Hii blog ndio naingia leo kwa mara ya kwanza baada ya kuiona 8020fashions kwa Shamim Zeze
wow! THOSE SHOES R CRUNK! POLKA DOTTED HUH(DA SPELLIN LOL) lukz ood na headbands itz tru tena zile nene nene na courts(da shoesz) na shorts zimeingia fashion tena ziwe tight straight alafu knee length na top ndefu sio tumbo wazi au skin jeans ! yani fab sana m still da chik (business lady) hu iz lookn fo ya contacts kama ni email or anything wanna tok to u bout somethin ya style nini na nini u knw..plz lemmi knw wassup! asante
thx sana anonymos hapo juu kwa kuweza kuwa mmoja wa wadau zangu na email id yng ni sheria.ngowi@gmail.com...shukrani sana
I have I have...but I need those cute shoes....Sheria...You really now how to dress a woman...And I am too critical when it comes to fashion.(maybe coz I am a designer)
Post a Comment