Wednesday, 9 May 2007

Mnaonaje Siku Mrembo Ukilipuka Hivyo?




Mnaonaje warembo walipukaji pamba kali za mtoko ukipata bahati ya kuwa na stock kama hizo hapo kuzivaa ukiwa unaenda night kwenye bash flani hivi..huo ni mpangilio wangu sijui nyie mna maoni gani nje ya mamatch yangu warembo...mnakaribishwa unapoona pamekosewa...

1 comment:

Anonymous said...

Ohh Man!!!....white with chui chui stuff on it...I love it!!!