Ubishi Ubishi Tu Hapa.....!
Nadhani wakuu mtakuwa mmethaminisha kuanzia vitambaa vya suti walizojinyuka wazee wazima kuanzia kwa Diddy,Jay Z,Usher na hapo pichani juu kunaonekana ubishi umekuwa mkali sana na hakuna ambaye anakubali kuachia uzi maanake kama suti wote walizopiga zimekwenda shule vilivyo...na kama miwani wamepiga wamepiga ya kibishi wote na usisahau pia hata pozi walizozichapa hapo pichani wote wamepiga za kibishi sana sana..sasa wadau wangu mnajua kwamba ukweli siku zote haufichiki ni nani kati ya hao watatu ametoka nyoko kati ya hao wabishi watatu?
2 comments:
Sheria nimekusoma hapo mtoko mmoja wa mastaa wa maana ndani ya vitu vikali vya ukweli si mchezo wamelipuka ile kisawasawa nimewakubali diddy,jigga,usher
P Diddy as always--he has a spectaculous sense of style and of course the camera loves him.
Post a Comment