Wednesday, 2 May 2007

Zebra Nae Anatisha Kwenye Style?


Msisahau warembo kuwa hata nguo ikiwa imeshonwa au kubuniwa katika muundo na style ya rangi za Zebra si mchezo pia kwakuwa inapendezaga sana tofauti na tulivyozoea ubunifu wa kutumia rangi za Chui chui..embu tazama pichani nguo iliyobuniwa kwa aina hiyo ya style inavyopendeza warembo je ingekuwa ndio wewe ungechagua ipi kati ya hizo tatu anbayo mistari ya zebra imepangwa fresh na kukuvutia wewe?

3 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Nimependa zaidi picha ya kwanza katoka bomba sana na nguo imemfit vizuri sana

Anonymous said...

Ningekuwa mimi ningechagua ya Gwen Stephani...kwasababu imetulia na haina makorokoro mengi na vilevile outfit imefit umbo lake!!

Anonymous said...

Thandie looks better in my opinion,the rest look too cotton-ish lol