Saturday, 13 October 2007

TUNAWAKILISHA!

Kama kawaida pichani nikiwa na mmoja ya rafiki yangu na mdau wangu mkubwa sana wa blogu hii ya Sheria na mavazi sio mwingine ila mzee mzima Niko...vipi mzee mzima wape hi sana mzee mzima Alikunda,Messy,Liz,Ntemi,Alfred na wote huko na wape salamu na mkono wangu wa Eid Mubarak...Tupo Pamoja Tunawakilisha...

9 comments:

Anonymous said...

teh teh mzee mzima wa sheria na mavazi nimekukubali ni kweli unajua kuvaa simple na unapendeza naomba nikuulize swali?ni kwamba kila kituchotuwekea kwenye blog unavyo au unavyo baadhi yake?safi sana mkuu umetoka poa kwenye hiyo picha na nimekukubali na endelea kukaza buti na kutupa stock zaidi.

Anonymous said...

sheria umetokaaaaa!shani hapa

Simon Kitururu said...

Si utani ! Mmependeza kisawasawa na endelezeni libeneke, EID Njema!

Anonymous said...

sheria kmbe handsome hivyo.lucy tz

Anonymous said...

nakuona son kama kawa unawakilisha chama letu la wapigania uhuru he he he pamoja bro 4 life .malumbo hapa cardiff wanaku holla na vitongoji vyake

Anonymous said...

mwe mwanawane kumbe na wewe unalipuka??umenogaaaa wangu..so fressh so clean..BIG UP!PAMOJA...

Anonymous said...

u r really luking great sheria,...show them wat u got.

Anonymous said...

kusema kweli mmependeza wazee, safi sana, endeleeni na msimamo huo huo

Anonymous said...

Umependeza sana Sheria,Matilda tz