Kwa mfano hicho kiatu hapo chini ukivalia hiyo suti hapo pichani nadhani utatoka fresh kinoma...nimeona niwaonyeshe mfano wadau zangu na nyie mpae picha mtoko utatokaje wadau zangu....hapo pichani juu ni Designer Ozwald Boateng akiwa anawapa shukrani wageni walifika kumpa shavu siku ya fashion show ya mavazi yake akiwa anawapa shukrani zake akiwa na mkewe shoto...sasa wadau mnaonaje hiyo suti ukivalia ule mkwaju red niliowawekea pichani chini?na jamaa mnaonaje suti yake alivyoidesign bomba na kumkaa kisawasawa....
Monday, 30 April 2007
Mfano Ukivalia Hii Suti....Na Hicho Kiatu Chini..Itakuwaje?

Red Nayo KIboko?
Najua wakurugenzi tumeshazoea viatu vyetu kuwa vya rangi kama black,white,brown n.k ila rangi kama nyekundu ni adimu sana...sasa basi tukae tukijua hii rangi iko unique sana na kwakusema ukweli ni balaa ukiwa umelipuka vitu white,brown na hata red yenyewe iwe suti na kadhalika hata jeans nadhani ukivalia pamoja na white shati du vilevile itakuwa balaa...

Bunango Hilo!
Tusisahau kuwa hata style ya kutumia aina ngozi ya mnyama flani sio lazima kutumia ya Chui,Zebra ila haya Ngombe style ya ngozi yake inapendeza kama uonavyo pichani hapo juu warembo mnasemaje hilo Bunango lilivyo tengenezwa kwa ubunifu mkubwa na style waliyotumiwa ni ile ya zamani....?nadhani ukipata aina hicho cha kiatu ukavalia suti white na minsketi yake itakuwa balaa....mnasemaje hapo?wewe ungevalia nini ukipata hilo bunango mrembo?

Mario Na Kimeo Cha Southpole..!

Uzuri wa wenzetu mtoni ni kwamba ukiwa ni mtu maarufu huko unapewa matangazo mengi na ya maana kwakuwa hawa watu wanajua kufanya biashara kwa kutumia majina ya watu maarufu...ila kwetu Afrika bado sana hatujajikwamua katika swala hilo ingawa kuna baadhi ya nchi nyingine zinafanya hivyo kama South Africa na nyinginezo...hivi kwaninii watu maarufu pale bongo na wenye makampuni makubwa hawawapi kimeo wanamziki wa pale bongo ulaji kama Mario pichani ambaye anatangazia kampuni ya mavazi ya Southpole ambapo anakula hela ndefu vibaya sana.....watu kama Juma Nature,Mwana.Fa,Fid q kwanini wasipewe ulaji kama huo hata wakianzia kwa kulipwa hata kiasi flani hivi wajikwamue...maanake wakae wakijua kama wanamziki maarufu kiwanja huwa hawategemei kazi ya mziki tu ila wanakuwa wanapewa shavu kwa mikataba kibao ya matangazo na ndio hapo wanapata hela ndefu...au wadau mnaonaje?

Cotton Cricket Cable V -Neck Style!
Ok kwa wale wapenzi wa mchezo wa cricket basi mtakuwa sio wageni kuona hiyo style...inajulikana hivyo kwa upangiliajii wake wa mistari katika sehemu ya shingo na pia mara nyingi zinakuwaga za rangi nyeupe....kwahiyo basi inajulikana kama Cotton Cricket Cable V-Neck Style....mnaonaje mzee mzima Nelly alivyojichapa na rangi zilivyomatch kwa kuvaa shati jeusi na suruali nyeusi na hilo sweater jeupe lenye mistari ya nyeusi shingoni na kumalizia na ofisi (miwani)matata sana ya light black?

Jeanz With Boots..!Mhh Sooo!

Nadhani warembo mnajua sana swala la kuvaa jinsi na chini mkamalizia na boots kali huwa siku zote zinapendeza sana kwakuwa unakuwa simple na unaonekana tofauti...tofauti unakuja kwenye choice ya mavazi na pia style ya mtu jinsi anavyojua kulipuka...kama muonavyo pichani jinsi mrembo Ciara alivyolipuka simple kinoma na kiblauzi white simple,blue jeans na boots simple na kali za brown.....kusema ukweli kapendeza na huwa napendezaga naona zaidi akibana nywele zake nyuma au mnaonaje wadau mlipuko na style ya nywele alivyobana?

Sunday, 29 April 2007
Dress To Kill....!
1.

Joe’s Aint Nothin Like me was released yesterday. He was pictured signing autography at J&R Muic and Computer world. Joe’s album is hot I really hope it does well as he is one of the best Male R&B artist out there right now.So let me describe the outfits 1st ....raulph lauren polo sweater (pink),light blue longsleeve shirt and lightsmoke shades...mhh the style its luk classy for real!

She's Funky...More Than Words....!

Kelis was doing her thing for the Energy Star for Free concert in Zurich.This picture are looking really good , At first when Kelis change over to this blond hair I wasn’t really feeling it but now it is looking a lot better and I must say I love it. She looks really classy in the black and white number.Nadhani mmenisoma warembo hapo stock alizopiga zilivyotulia?

Datz Ciara On The Cover Of Vibe Magazine...!
Cici is really steping up her game, i dont like the massive hair do but she looks really hot on the cover of vibe magazine.So i thnk u can c the way she put on dat leather min skirt and hair style...
I think a lot of ladies back home thr knw hw to dress up the same and put on same style like wat cici suicide her self in dat cover magazine snap shoot....ladies u here me?
Cici is really steping up her game, i dont like the massive hair do but she looks really hot on the cover of vibe magazine.So i thnk u can c the way she put on dat leather min skirt and hair style...I think a lot of ladies back home thr knw hw to dress up the same and put on same style like wat cici suicide her self in dat cover magazine snap shoot....ladies u here me?
Mkwaju Huo!
Mambo ya formal hayo huwa yanahitaji mkwaju mmoja wa maana chini pindi unapolipuka formal kali na zilizoenda shule!Kama ukikamata mkwaju kama huu ukalipukia mambo ya Cadet Trouser ya Brown au Cream mambo nadhani yatakuwa mwake kinoma au hata ukijiachia na suruali zenye mistari mwembamba kwa mbali basi mambo yatakuwa swafi kabisa...nadhani mmenisoma wakurugenzi!

Aliwakilisha Tanzania...Nani Alidesign Hiyo Hoody!
Siku Jigga aliposhuka Bongo aliwakilisha na Hoody moja matata sana iliyoandikwa Tanzania...kusema ukweli kwa aliyedesign hii amejitahidi sana kwa kuitangaza nchi yetu sio mpaka utalii na mbuga za wanyama ila hata nguo zikiwa na nembo mbalimbali basi ni tosha kabisa kuipa shavu nchi yetu...sasa nilitaka kuwauliza wadau swali hiyo Hoody aliyovaa Jigga alikuja nayo...na kama alikuja nayo ilitengenezwa na chata gani...Je ni RocaWear?au kama sio hivyo je kama ilitengenezwa palepale bongo ni nembo gani au nani alidesign?

Kanye West ....Na Vans Classic-Slip On Chini!
Mambo ya Vans Era hiyo aliyovaa Kanye West ni noma sana...maana aina hiyo ya simple raba ambayo iko kwenye game longtime na imekuwa maarufu sawa sawa na Converse lakini hizi Vans zinapendwa kuvaliwa sana Rock Musician ambao ndio style yao.....umeonaje mlipuko wa Kanye kuanzia juu mpaka chini.....

Mambo Ya Polyster!
Nguo za aina ya polyster kwa sasa zimerudi tena kwa kasi sana na kwa kusema kweli zimetulia sana hasa ukiwa unalipuka nazo nyakati za zozote na kwa kusema ukweli ubunifu na material zenyewe zinazotumika hakuna njia lazima ushine vibaya sana....Hapo ni mrembo sepetu akiwa kajinyakulia stock hiyo na kujichapa flash moja matata sana kama ukumbusho wake....mnasemaje jamani warembo gauni hilo la wema?

Catalogue Sweater Hizo!
Kuna aina nyingi za sweater ila katika aina hizo pia kuna utofauti kutoka aina moja hadi nyingine na hiyo inatokana na aina ya material waliyotumia katika utengenezaji wake na hapo ndipo bei rasmi na gharama rasmi ya bei inapagwa...so usishangae kuona aina au style moja ya style unakutana nayo halafu unajiuliza mbona hii rahisi na ile gharama sana hapo nakuomba utazame material iliyotumika kutengeneza hiyo sweater na brand name yake pia na hapo utakuwa umetoa utata ulikuwa nao....hapo pichani juu unaona hiyo aina ya sweater ilivyopangiliwa michoro vizuri na kwa ubunifu wa hali ya juu?basi si mchezo nadhani umeikubali fresh hiyo style kwa jinsi ilivyotulia wadau zangu?

Friday, 27 April 2007
Converse With Double Ulimi!
Hiyo ndio style ya simple mpya za converse with double ulimi...aina hii ya style imekaa sana kihiphop na mchanyiko wa Army Design ambao kusema ukweli ni noma na kama nilivyosema kwenye uvaaji wa t-shirt na jeans na cadet khaki katika usimple kama huu ni balaa...nadhani wazee mmesoma stock hiyo jinsi ilivyokwenda kidato....mnasemaje wakurugenzi?

Sina La Kuongoza Warembo..Kazi Kwenu!
Kuhusu huo mdungo hapo pichani kusema ukweli sina la kusema warembo ila nimeona niwape na nyie muda wajivika na kujaribu kimawazo ni vipi na namna gani huu mdungo wa stock hapo pichani umekugwadua kwa kiasi gani...embu niambie kwa mfano umeshtulia ghafla tu kwamba unatoka out ghafla halafu ukashauriwa ukivae hicho kiatu ...je utavalia kitu gani kwa muda huo ulioshutuliwa mrembo?

Ful Denim Vs Orange!
Ukitaka ujue ukivaa ful denim jeans na vitu flani simple hivi basi embu jaribu siku mmoja halafu upate mtoko mmoja wa bata kama hujapata big up sana popote kwa wajuzi wa mavazi...kama mnaonaje hapo pichani denim ful na orange blauzi na viatu vya rangi hiyo hiyo na kusema ukweli amependeza sana....napenda kuwapa shavu sana warembo wa kibongo akiwepo mrembo Lulu pichani kwa kuwakilisha sai sana kwenye hili duru la kunyuka pamba za maana...safi sana!

Siku Ya Harusi Ya Kabila Walilipuka Hivi...
Tafakari jinsi siku kabila alipofunga ndoa...harusi yake ilikuwa babu kubwa na mavazi ya wote wawili yalikuwa simple sana ingawa najua yalikuwa ni yalibuniwa na wabunifu maarufu dunia..lakini twende mbele turudi nyuma mnaonaje mavazi hayo wadau zangu?Naomba mnipe maoni yenu hapo!

Mnasemaje Wakongwe Nao....Wabishi Pia!
Da haa umri uende vipi ila kuna watu wabishi sana ambao hawakubali kupitwa na wakati hata kama watu wanawaona du wameshaenda age...hapo nawazungumzia couple kali sana ya malegend kama Producer Maarufu Dunia J.Dupri na Mwanamziki Mashuhuri Wa R&b/Pop Janet Jackson kwakuwa wabishi sana katika swala zima la kulipuka pamba na ndio sababu yak e wanazidi kuonekana vijana na sio wazee ila vijana ndio wanaonekana wazee kuliko wao...embu wadau niambie ukikutana na Janet Jackson sasa hivi unaweza kupagawa na kurusha kete bila kujua umri wake mkubwa hii inatokana na pamba na kwenda na wakati aliyonao mrembo huyu na ndio hivyo hivyo kwa J.Dupri....Cheki pichani unazani vijana kumbe pamba na kwenda na wakati pia kunawasaidia plus pesa ndefu.

Mambo Ya Polo Hayo...Balaa!
Siku zote chata ya polo ndio chata iliyoko kwenye chati kwa kipindi kwakuwa ili kutunga stock hiyo inakugharimu kidogo ukifananisha na aina nyinginezo za Color T-shirts nyinginezo..hii inatokana na kuvaliwa na hata kutangazwa sana na watu maarufu kuanzia Musician,Movie Actors/Actress,Golfer n.k Hii aina ya design ya t-shirt inajulikana zaidi na wabongo kama Form 6....ukilikamata kama hilo pichani au ya aina nyinginezo za rangi kwakuwa ziko katika choice tofauti za rangi unalipukia Jeans au Pensi Jeans,Kaptula ya Khaki,Linen Trouser na chini unamalizia Simple Raba White..Green au mchanyiko wa rangi zote mbili kwa upande wa jeans na kwa upande wa Pensi ya Khaki unamalizia chini na Sendoz Simple,Driving Shoes au Loafers basi kazi kwisha kabisa au mnasemaje wakurugenzi mdungo huo...Nadhani Junior Umenisoma Hapo...?

Light Blue Vs Dark Blue....Matokeo Hayo Sasa!
Siku zote ukivaa aina yoyote ya rangi kumbuka rangi inayokuwa Dark sana huwa inapendezaga ukimatch na rangi iliyo Light pia ila iwe ya aina hiyo hiyo...kama uonavyo pichani juu jinsi gani tai ilivyopendeza ya Dark Blue ilivyopandishiwa kwenye Shati la mistari ya Dark Blue na Light blue...mnasemaje waungwana mdungo umetulia nadhani hakuna ubishi hapo....

Kama Anasema Tulia....Uone Pamba Zinavyovaliwa!
Marques Huston pichani akiwa kala pozi mmoja matata sana na lakutisha huku akiwa kalipuka kawaida sana bila makorokoro mengi yaani kwa mtoko wa kawaida anaonyesha hauhitaji mlimbikizo wa nguo...ila unavaa simple kama umuonavyo pichani ni shati la mikono mirrefu bodyfit flani lenye mistari mwembamba,white vesti nayo bodyfit flani na juu kamalizia na ofisi (miwani) moja ya maana oversize flani ya light smoke brown hivi basi ni balaa tupu....nadhani chini atakuwa kamalizia na jeans na white snicker iwe Air Force 1 n.k au Driving Shoes au Loafers....au pia Travolta la brown itakuwa kametoka mwake ..je mdau wewe ungevaaje hapo?

Mchakamchaka Wa Shaggy Alipotumbuiza Bongo!
Pichani ni Mwanamziki Maarufu Duniani Shaggy siku alipowarusha wabongo mchakamchaka pale Diamond Jubilee....Nadhani watu wengi mnamkubali sana huyu jamaa kwa style yake ya mavazi na kwa kifupi style zake zinamtoa kinoma..kama hapo pichani alilipuka mnyuko mmoja wa kukata na shoka...Pensi la Army,Adidas White All Star,White Longsleeve,Blazer la Grey lenye viraka nyuma ya mikono black na Kofia (kapelo) ya grey na mistari white...kusema ukweli alitoka baruti bovu siku hiyo...ila mnawaona na wabongo hawakuwa nyuma siku hiyo pia nadhani ukiangalia hii picha utatathimini pamba nyepesi zilivyokuwa zinawakilisha nadhani hata Shaggy alishtuka kuona watu wanavyojilipua bongo....Big Up sana wabongo kwa ubishi nawakubali mnoo...

5.Picha Za Kuchorwa Ni Balaa!
Ndugu wadau zangu hii ni awamu ya pili ya kuwaletea mambo ya Interior Designing ya nyumba tofauti tofauti na muone na muweze kujua ubunifu wa nyumba mbalimbali za wenzetu na tutoe dhana ya kwamba ili nyumba iwe nzuri na ya kifahari ni lazima uwe na hela ndefu...ambayo mimi dhana hiyo nataka itutoke kabisa vichwani kwetu kwakuwa ubunifu ni ustadi wa mtu binafsi na jinsi usimple anaotaka kucreate sense ya style yake....Karibu sana katika mchakato huu...

Thursday, 26 April 2007
Hilo Ni Swali Na Maoni Tu...Naomba Mnisaidie Wadau!
Nilikuwa na swali hili kwa kipindi kirefu sana wadau na sasa nimeona nimepata fursa mwafaka kuwauliza angalau wadau zangu..Hivi inakuwaje kamati ya Miss Tanzania inawalazimisha na kuwaambia washiriki wote wa mashindano hayo pale bongo kuwa wanapokuwa katika mashindano hayo haswahaswa katika seksheni ya vazi la ufukweni wasitembee na vichupi kama huyo mrembo pichani zaidi yake wanavaa na vitambaa kufunika hayo mavazi yao...sasa basi mimi kwa maoni yangu naona kuwafanyia hivyo haisadii kitu ila kuwaharibia confidance wanapokuwa kwenye mashindano hayo na huko wanakokwenda kutuwakilisha...kumbukeni tunawabania pale bongo lakini wakieenda huko wanatembea bila hata kujifunika sasa mimi naona ni kazi bure kuwanyima nyumbani halafu akiwa kwenye mashindano ya dunia anamwaga radhi...basi kama hamtaki home wavae hivyo basi naona hayo maandalizi ya kumwandaa hayana maana na kama kuna vitu vingie mnaona havistahili basi ni bora hata msipeleke washiriki kwenda kushiriki hata hayo mashindano kwakuwa ni kazi bure...au wadau mnaona wanavyofanya kamati ya Miss Tanzania Kwa washiriki ni sawa?embu mtazame miss huyo hapo pichani alivyo na confidance kwenye ushiriki wake kwakuwa kavundwa kuanzia nyumbani na kupewa shavu hata kabla ya kwenda kushiriki mashindano ya dunia...Jamani badilikeni kidogo hii noma!

Kabashingo Hiyo Ni Noma...!
Warembo kabashingo hiyo au style ya kitu kupanda na kufunika shingo kwa juu inakuwa kama pullneck...hapo pichani nadhani mmemsoma mrembo Mary J kama kawaida yake na nadhani warembo mnamkubali sana dada huyu kwa kulipuka pamba kinoma...embu soma hiyo kijiblazu kaba shingo ilivyo tight yenye vispoti vyeupe na usoni katolea uvivu kabisa kwa shades black ambapo mnyambuliko umetulia kinoma...

Shades...Dog Tag...Ndani Ya Babyface...!
Huyo ndio Babyface ambaye ni mmoja wa maproducer na mwimbaji mashuhuri...vilevile tusisahau kuwa pia analipuka sana pamba kali kinoma na ukilinganisha na umri wake basi ndio utajua fahion na style hazina mwisho hata ukiwa na umri mkubwa namna gani....embu tazama Shades,Dogtag na shati jeupe na suruali simple ya kodrai ya brown na najua kwa vyovyote vile atakuwa kamalizia na Travolta moja ya matata sana...mnaonaje mdungo.

Haya Tufanye Ndio Wewe Umekamata Hiyo Stock...!
Tuchukulie tu mfano wadau zangu iwe ndio wewe hapo umekamata hiyo White Bodyfit Suti maanake hapo nimeweka hiyo mniambie je wewe mngepata hiyo stock hapo ambapo alitakiwa kuvaa shati yeye amekuwa kifua wazi wewe ungevaa shati la aina gani au kwa kivupi unmatch vpi kuanzia juu mpk chini?

Kumbuka Hivyo...Sio Lazima...!
Ni lazima tukumbuke ule uzoefu na mambo tuliyoshazoe kuyafanya bila kupindisha sasa yamepita na wakati badala yake ni kufuata wakati husika unasemaje...kwakuwa watu tumeshazoeaga kama kuvaaga suti ful na tai juu na chini moka ila kwasasa sio lazima tai,moka,wala suruali ya suti ila unaweza ukavaa T-shirt,Jeans au Pensi na Raba na hali haiwi tena kama zamani..kama uonavyo pichani juu mzee mzima kajidunga Pensi Simple,Flat shoes,T-shirt ,Blazer na Kofia ya Pama kumaliza kabisa ubishi na katoka nyoko bovu...basi kumbuka hivyo na sio lazima sana kufuata sheria nyingine za mavazi kama zamani ila unaweza ukalipuka kwa style nyingine na ukatoka safi kinoma,,,nadhani hapo wadau mmenisoma swafi.

Mnaonaje hapo Udosini....!
Najua kwa mabinti wengi mtakuwa mmeshamezea sana mate flat kiatu hapo pichani juu.....hii style na aina hii ya kiatu asili yake ni kutoka udosini (india) nakusema ukweli viko simple sana na vimetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu sana na pia ni ngozi vingi vyao...kusema ukweli kwa mabinti wanaopenda kudungunyuka na uflat huu mkikamata mtaniambia usimple wake na ukivaa ni jinsi gani viko comfortable....Nadhani Chazya hapo sina wasiwasi nae kwakuwa namkubali sana kwa kumudu stock hizi na kulipuka na hi style na anatoka bunduki sana....Big Up sana....je ungekuwa wewe mrembo ungelipukaje na uflat huo wa kidosi?

Range Rover...Sport Hiyo!
Wadau zangu nimeona nisiwe nabase sana kwenye masuala ya mavazi tu ia na mavazi nayo yanapendeza au kuendana na mavazi unayolipuka nayo...naona vilevile nitakuwa nawadunga stock ya miguu minne ili tusukutue vinywa hata kama hatuna ila tukipata tudake na sisi...haha ok wadau hiyo ndio Range Rover Sport jinsi lilivyo na kusema kweli nasikia pale bonogo tumejikwamua sana kwa suala kama hilo na watu wanapimp kama kawaida nakuacha ile zana ya kuoona kwenye tv au magazeti ila sasa ni live pale bongo watu wanapush vibaya sana hayo ndio maandeleo kama usemi usemao "Kazi Na Dawa" au mnasemaje wadau zangu huo mdungo pichani ukiukamata 1day?mnaonaje hizo rims....rangi ya gari...na jinsi gari lenyewe lilivyosimamia kucha.....ukiwa unafanya choice ya gari kwa kipindi hichi uwe unajua kuwa rims na rangi ya gari vinamatter kinoma...wadau au uongo?

Subscribe to:
Posts (Atom)